Feisal ataendelea kuitumikia Yanga - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2022
Feisal ataendelea kuitumikia Yanga - Manara

Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo wampokee kwa mikono miwili kiungo wao Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye yuko mbioni kurejea kuendelea na majukumu yake katika kikosi cha Yanga

Juzi baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam Fc, baadhi ya mashabiki wa Yanga walisikiki wakiimba kuwa 'Fei Toto aondoke' huku wengi wao wakitoa maoni kuwa hawamuhitaji tena kwa sababu Yanga ni kubwa kuliko yeye

Ni baada ya jaribio lake la kuvunja mkataba ili ajiunge na Azam Fc kukwama kwa kile kilichoelezwa na wanasheria kuwa hakufuata taratibu

Manara amesema baada ya mazungumzo ya kina na Feisal, mchezaji huyo bora wa michuano ya kombe la FA msimu uliopita, ameridhia kubaki Yanga huku uongozi wa mabingwa hao wa nchi wakiboresha maslahi yake

Manara amesema mashabiki hawapaswi kuwa na jazba zaidi wakijikite kwenye uhalisia na yeye binafsi anasubiri kwa hamu kumuona Feisal akiendelea na majukumu yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’