Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi Disemba 31 2022 katika uwanja wa Manungu, Morogoro
Yanga itaondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Morogoro









ADVERTISE HERE