Yanga yajifua uwanja wa Majimaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2018
Yanga yajifua uwanja wa Majimaji
Kikosi cha Yanga kiliwasili Songea mchana kwa usafiri wa Ndege na jioni kimejifua katika uwanja wa Majimaji tayari kwa mchezo wa kesho Jumapili kombe la FA dhidi ya wenyeji wao Majimaji.

Hali ya uwanja sio nzuri sana lakini uwanja huo uko hivyo miaka yote. Wachezaji wameshuhudiwa wakipasha miili yao wakiwa na furaha, ari tayari kwa mtanange huo kesho.

Yanga inasaka tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo ambayo bingwa wake ataiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Aidha Bingwa wa ASFC anajinyakulia kitita Sh Mil 50 zinazotolewa na wadhamini wa michuano hiyo kampuni ya Azam.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’