Yanga kuanza na Ihefu baada ya kombe la Mapinduzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jan 2023
Yanga kuanza na Ihefu baada ya kombe la Mapinduzi

Yanga inaelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi ambapo mchezo wao wa kwanza watacheza Jumatano, Januari 04 dhidi ya KMKM kwenye uwanja wa Amaan

Baada ya kombe la Mapinduzi kuhitikishwa Januari 13, Wananchi watarejea katika kampeni ya kutetea ubingwa wa ligi kuu ambapo watashuka dimba la Mkapa Januari 16 kuikabili Ihefu Fc

Huu ni mchezo wa kisasi, Ihefu Fc ndio timu pekee iliyoifunga Yanga msimu huu na kusimamisha rekodi ya kutopoteza mchezo baada ya mechi 49

Kama Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi atachanga karata zake vyema, Wananchi wanaweza kutetea ubingwa wao mapema tu

Yanga itacheza mechi saba mfululizo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya kuelekea mkoani Singida kuikabili Singida Big Stars

Baadae watarejea tena Dar kucheza na Dodoma Jiji kisha kusafiri mkoani Mbeya kukamilisha msimu kwa mechi dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons

Katika mechi 11 zilizobaki ni mechi tatu tu zitakazopigwa nje ya Dar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’