Matchday : Yanga vs Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jan 2023
Matchday : Yanga vs Singida BS

Kikosi cha Yanga leo kinashuka tena uwanja wa Amaan kuwakabili walima alizeti wa Singida BS katika mchezo wa kombe la Mapinduzi

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili iweze kutinga nusu fainali ya michuano hiyo

Timu zote zilipata ushindi dhidi ya KMKM ambapo Singida BS walishinda mabao 2-0 wakati Yanga wakishinda bao 1-0

Matokeo ya sare yatainufaisha Singida BS hivyo leo kikosi cha Kocha Cedric Kaze kinahitaji kushinda

Utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora wa vikosi vya timu zote mbili

Singida BS wanashiriki kombe la Mapinduzi wakiwa na kikosi chao kamili wakati Yanga kikosi kina mchanganyiko wa wachezaji vijana na wazoefu

Mtanange huo utapigwa saa 2:15 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’