Mapema leo uongozi wa klabu ya Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said, Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini na Wachezaji walitembea nyumbani kwa Mama Fatma Karume visiwani Zanzibar
Yanga ilihitimisha ushiriki wake kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi jana na inatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo






ADVERTISE HERE