Yanga Princess imekamilisha usajili wa mshambuliaji hatari Cuta Cidalia Daniel raia wa Msumbiji
Cuta anatua Yanga Princess akitokea klabu ya Coaso Do Sol ya huko Msumbiji
Nyota huyo amefunga mabao 45 katika misimu miwili aliyoitumikia Coaso Do Sol
Huu ni mtambo hasa wa mabao umetua kwa kinadada wa Yanga Princess..!

ADVERTISE HERE