Tunakamilisha usajili wa wachezaji wawili - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2023
Tunakamilisha usajili wa wachezaji wawili - Kamwe

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema uongozi wa timu hiyo uko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa wachezaji wawili wa Kimataifa ambao watajiunga na Yanga kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa mwishoni mwa wiki hii

Dirisha la usajili litafungwa Jumapili, Januari 15 2023, Yanga ina takribani siku nne kukamilisha usajili huo

Kamwe amesema nyota hao wa Kimataifa wataongeza ubora wa kikosi chao pamoja na thamani ya ligi kuu kwani wachezaji hao wana profile kubwa katika soka la Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’