Yanga Princess yashusha beki Mghana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2023
Yanga Princess yashusha beki Mghana

Yanga Princess imeendelea kuimarisha kikosi baada ya leo kutambulisha usajili wa beki wa Kimataifa raia wa Ghana Cynthia Adjei

Cynthia anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Yanga Princess katika dirisha dogo la usajili baada ya Cuta Daniel Cidalia kutoka Msumbiji

Cynthia anatua Yanga Princess akitokea klabu ya Amman. Mlinzi mahiri katika kupiga pasi na kuanzisha mashambulizi. Pia anamudu kucheza eneo la kiungo cha ukabaji

Usajili mwingine wa thamani kubwa kwa Yanga Princess....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’