Mlinda lango Metacha Mnata leo ameanza rasmi kujifua na wachezaji wenzake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo huo utapigwa Jumatatu ijayo, Januari 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Metacha ametua Yanga kwa mkopo katika dirisha dogo la usajili lililfungwa Januari 15 akitokea klabu ya Singida Big Stars
Metacha atashirikiana na walinda lango wengine Djigui Diarra na Erick Johora wakati Aboutwalib Mshery akiendelea na matibabu ya majeraha ambayo yatamuweka nje kwa miezi kadhaa
ADVERTISE HERE