Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mchezaji kiraka wa Yanga, Yannick Bangala
Bangala 'MVP' wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC, ni mmoja ya wachezaji muhimu katika kikosi cha Yanga
Uwezo wake wa kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani, umeinufaisha sana Yanga katika mechi za ligi na mashindano mengine
Katika msimu huu Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amemtumia zaidi katika safu ya ulinzi na mara chache akimrejesha katika eneo la kiungo
Bangala ni mchezaji mwenye heshima kubwa ndani ya kikosi cha Yanga, ni mtu wa kazi kwelikweli
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY BANGALA...!
ADVERTISE HERE