Msemaji na Mhamasishaji wa zamani wa Yanga Haji Manara leo anaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa
Manara ameandaa hafla ya aina yake Mlimani City jijini Dar es salaam ambayo itawahusisha mastaa wakubwa katika nchi hii
Sisi Wananchi tunamtakia kila la kheri, wakati huu ambao bado anaendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa miaka miwili
HAPPY PBORTHDAY MANARA..!
ADVERTISE HERE