Ceasiaa Queens 0-1 Yanga Princess (FT)

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2023
Ceasiaa Queens 0-1 Yanga Princess (FT)

Yanga Princess imeendelea kutakata kunako ligi kuu ya Wanawake, Serengeti Lite baada ya kuichapa Ceasiaa Queens bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Mkwawa mkoani Iringa

Blessing Nkor ameendeleza kasi yake ya kupachika mabao katika kikosi cha Yanga Princess akifunga bao pekee la ushindi siku ya leo

Ni ushindi wa nne kwa Yanga Princess katika mechi sita, sare moja na kufikisha alama 13

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’