Nabi anaisuka upya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2023
Nabi anaisuka upya Yanga

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu Fc siku ya Jumatatu, Yanga imerejea kujifua Avic Town kwa ajili ya mechi zinazofuata

Wananchi wana mechi mbili za ligi kuu, moja ya FA dhidi ya Rhino Rangers (Jan 27), Ruvu Shooting (Januari 23) na dhidi ya Namungo Fc (Feb 04) kisha kuelekea nchini Tunisia kuikabili US Monastir, February 12 kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho hatua ya makundi

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema wanaendelea vyema na program za mazoezi ambapo timu inafanya mazoezi mara mbili (asubuhi na jioni)

Yanga imepania kutetea ubingwa wa ligi wa ligi kuu wakiongoza ligi na alama 53 alama sita mbele ya Simba inayoshika nafasi ya pili

Wananchi pia wamedhamiria kutetea taji la FA pamoja na angalau kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’