Kariakoo dabi yasogezwa April 16

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2023
Kariakoo dabi yasogezwa April 16

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya tarehe za michezo yote ya mzunguko wa 26 wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/2023 pamoja na michezo mingine miwili ya mzunguko wa 22 (Geita Gold FC dhidi ya Coastal Union FC) na (Simba SC dhidi ya Young Africans SC).

Mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC uliopangwa kuchezwa Aprili 9 utapigwa Aprili 16, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo wa Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar uliopangwa kuchezwa Aprili 16, 2023 utachezwa Aprili 7, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Mchezo wa Ihefu FC dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe Aprili 15 sasa utachezwa Aprili 8 katika dimba la Highland Estate.

Mchezo wa Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar uliokuwa uchezwe Aprili 15, sasa utachezwa Aprili 8, 2023 dimbani Azam Complex.

Sababu za mabadiliko hayo ni uwepo wa tukio la mkutano wa dini Aprili 9, 2023 siku ambayo ilipangwa kwa ajili ya mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC.

Mabadiliko ya tarehe ya mchezo huo yameathiri ratiba ya michezo mingine yote ya mzunguko wa 26.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’