Doumbia huyu hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2023
Doumbia huyu hapa

Beki kisiki wa Yanga Mamadou Doumbia aliwasili nchini Alfajiri ya leo Jumamosi na moja kwa moja kuelekea Avic Town kuungana na wachezaji wenzake

Doumbia amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wananchi

Ametua nchini akitokea Algeria ambako alikuwa akishiriki michuano ya CHAN akiwa na timu Taifa ya Mali

Doumbia alikuwa nahodha wa timu hiyo lakini amelazimika kuondoka baada ya usajili wake na Yanga kukamilika

Anakuwa mchezaji wa pili kujiunga na Yanga akitokea klabu ya Stade Malien ya Mali baada ya Djigui Diarra

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’