Huyu Mudathir wa Yanga sio yule wa Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2023
Huyu Mudathir wa Yanga sio yule wa Azam Fc

Kuna msemo wao Wananchi kuwa mchezaji akisajiliwa Yanga kuna kitu huongezwa juu ya uwezo wake na kitu hicho kinabakia Yanga pale anapoondoka

Katika mechi mbili alizoitumikia Yanga kwenye ligi, kiungo Mudathir Yahya ameonekana kuwa mchezaji wa tofauti kabisa na yule Mudathir aliyeitumikia Azam Fc kwa miaka mingi

Pengine huu msemo wa Wananchi una ukweli ndani yake! Mudhathir ni moja ya wachezaji bora katika kikosi cha Yanga

Mudathir ameongeza kitu cha ziada kwenye safu ya kiungo, mahiri sana kwenye 'kukata umeme'!

Fundi huyu ana uwezo mkubwa wa kupiga pasi fupi na ndefu, anaweza kutumika kama kiungo mkabaji, au 'box to box'

Jana katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, pasi yake kwa Kennedy Musonda ilizaa bao pekee la Yanga, mlinzi wa Ruvu Mpoki Mwakanyuki akijifunga

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alimuhitaji Mudathir baada ya Feisal kujiengua kikosini, majibu yameanza kuonekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’