Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne, amejiunga na Ihefu Fc kwa mkataba wa miezi sita
Yacouba ametua Ihefu Fc akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Yanga ilikuwa na mpango wa kumrejesha kikosini kwenye dirisha dogo hata hivyo ilishindikana kutokana na ufinyu wa nafasi




Kila la kheri 'Mburkinabe mchizi boti'
ADVERTISE HERE