Kituo kinachofuata ni Rhino Rangers

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2023
Kituo kinachofuata ni Rhino Rangers

Mwishoni mwa wiki hii ligi kuu ya NBC itasimama kupisha ratiba ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambapo mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga nao watashuka dimbani

Siku ya Jumapili, Januari 29 Yanga itakuwa mwenyeji wa Rhino Rangers kutoka Tabora katika mchezo wa raundi ya tano kombe la FA

Mtanange huo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na mchezo huo pamoja na mechi itakayofuata kwenye ligi dhidi ya Namungo Fc (Feb 04) na baadae kuelea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir (Feb 12)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
57m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’