Mabingwa watetezi kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Yanga wanashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Rhino Rangers katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameanza na kikosi hiki;
1. Metacha Mnata
2. Kibwana Shomari
3. David Bryson
4. Ibrahim Bacca
5. Bakari Mwamnyeto
6. Yannick Bangala
7. Dickson Ambundo
8. Mudathir Yahya
9. Kennedy Musonda
10. Stephane Aziz Ki
11. Farid Mussa
SUB
Djigui Diarra
Mamadou Doumbia
Dickson Job
Joyce Lomalisa
Zawadi Mauya
Chrispine Ngushi
Clement Mzize
Jesus Moloko
Fiston Mayele
ADVERTISE HERE