JKT Queens dhidi ya Yanga Princess leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2023
JKT Queens dhidi ya Yanga Princess leo

Leo Jumatano, Februari 1 2023 Yanga Princess itaendelea na kampeni ya kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' watakapoikabili JKT Queens katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Jenerali Samuyo, Mbweni

Hautakuwa mchezo mwepesi hata kidogo kwani JKT Queens wana kikosi bora msimu huu wakiwa ndio vinara wa ligi wakiwa na alama 16

Wameshinda mechi tano na kupata sare mchezo mmoja. JKT Queens ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo kwenye ligi hiyo msimu huu

Yanga Princess inashika nafasi ya nne ikiwa na alama 13, ushindi siku ya leo utakuwa na thamani kubwa kwa Yanga Princess katika mkakati wao wa kuwania ubingwa

Kocha Mkuu wa Yanga Princess Sebastian Nkoma amesema vijana wake wako imara, tayari kuikabili JKT Queens

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’