SportPesa katika mvutano na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2023
SportPesa katika mvutano na Yanga

Kampuni ya SportPesa ambao ni Wadhamini wakuu wa klabu ya Yanga 2022-25, imeeleza kusikitishwa na hatua ya Yanga kuitangaza kampuni ya Haier kuwa Mdhamini katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Taarifa iliyotolewa na SportPesa mapema leo, imebainisha kuwa kampuni hiyo ilipendekeza Yanga kutumia 'Visit Tanzania' kama mbadala katika michuano hiyo

Hata hivyo Yanga haikukubaliana na mapendekezo hayo kwa kuzingatia maslahi yake hivyo kusaini mkataba maalum na Haier kuwa wadhamini katika michuano ya Shirikisho tu

SportPesa wametaka fidia kutoka kwa klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’