Uzi huu umeuzika!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2023
Uzi huu umeuzika!

Baada ya Yanga kuzindua jezi maalum kwa ajili ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) na kutangaza jezi hizo zitauzwa Tsh 50,000/- wapo waliodhani bei hiyo ni kubwa sana

Zipo baadhi ya redio ziliendesha mijadala kwenye vipindi vyao vya michezo wakikosoa kiwango hicho cha bei kilichowekwa wakiamini Wananchi hawataweza kuzinunua

Lakini Wananchi wamewadhihirishia ni kiasi gani wanaipenda timu yao na wako tayari kutoa gharama yoyote kununua bidhaa za klabu yao

Umati wa watu waliojitokeza duka la Yanga lililopo Makao Makuu ya klabu, Jangwani ni ishara ya upendo mkubwa wa Wananchi kwa timu yao

Wananchi wamenunua jezi kama njugu huku wengine wakiuambia uongozi wao kuwa kwa ubora wa jezi hizo, zilipaswa kuuzwa zaidi ya Tsh 50,000/-

Jezi hizo ni toleo maalum kwa ajili ya michuano ya CAF na zinauzwa kwenye duka la Yanga pekee

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’