Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya US Monastir
Mchezo huo utapigwa Jumapili, Februari 12 huko Tunis
Yanga imeondoka na msafara wa wachezaji 24, viongozi 9 wakiwemo benchi la ufundi





ADVERTISE HERE