Mechi dhidi ya KMC yarudi dimba la Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2023
Mechi dhidi ya KMC yarudi dimba la Mkapa

Mchezo wa ligi kuu kati ya KMC dhidi ya Yanga utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Februari 22

Awali KMC waliomba kwa Bodi ya ligi kupeleka mchezo huo uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora lakini ni wazi ombi lao limegonga mwamba

Mtanange huo utapigwa siku tatu baada ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Februari 19

Yanga sasa imebakiza mechi tatu za nje ya jiji la Dar es salaam dhidi ya Singida BS, Mbeya City na Prisons

Yanga itacheza mechi nne mfululizo uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya kusafiri mkoani Singida kuifuata Singida BS

Kimahesabu kama Yanga itashinda mechi sita zinazofuata, itatwaa ubingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’