Mauzo ya tiketi kuelekea mchezo wa kwanza nyumbani hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe yameanza
Unaweza kununua tiketi yako kupitia mitandao ya simu au vituo vilivyoainishwa na Yanga
VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/-, VIP C ni Tsh 10,000/- na Mzunguungo Tsh 3,000/- kabla ya siku ya mechi
Siku ya mechi (Feb 19) tiketi za Mzunguuko zitauzwa Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE