Golikipa wa Yanga Aboutwalib Mshery amefanyiwa upasuaji uliokuwa na mafanikio siku ya jana huko Tunisia
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa Mshery amefanyiwa upasuaji katika Mji wa Sousse nje kidogo ya jiji la Tunis
Atarejea Tunis siku ya Jumamosi na atasafiri na wenzake baada ya mchezo dhidi ya US Monastir siku ya Jumapili
Mshery anatarajiwa kuwa nje ya uwanja mpaka mwezi May
ADVERTISE HERE