Kikosi cha Yanga kimepata nafasi ya kukagua Uwanja wa Olympic de Rades jioni ya leo kuelekea mchezo wao dhidi ya US Monastir siku ya Jumapili
Awali Yanga walitakiwa fanya mazoezi yao ya mwisho kesho kwenye uwanja huu lakini kutokana na uwepo wa mechi kati ya Esperance vs El Mereikh , Yanga wakaombwa wapite na kukagua uwanja leo kwa angalau dakika 15 badala ya kufanya mazoezi



ADVERTISE HERE