Majira ya saa 1 usiku Yanga itashuka uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi kuikabili US Monastir katika mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho kundi D
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameanza na kikosi hiki;
Lineup
1. Djigui Diarra
2. Djuma Shabani
3. Kibwana Shomari
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Jesus Moloko
8. Salum Abubakar
9. Fiston Mayele
10. Stephane Aziz Ki
11. Tuisila Kisinda
SUB
Metacha Mnata
Joyce Lomalisa
Bakari Nondo Mwamnyeto
Ibrahim Bacca
Kennedy Musonda
Zawadi Mauya
Farid Mussa
Clement Mzize
Mudathir Yahya
ADVERTISE HERE