Yanga Princess dimbani dhidi ya Amani Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Feb 2023
Yanga Princess dimbani dhidi ya Amani Queens

Ligi kuu ya Wanawake, 'Serengeti Lite ' inaendelea leo ambapo kinadada Wananchi Yanga Princess watakuwa uwanja wa Uhuru kuwakaribisha Amani Queens

Ni mechi muhimu kwa Yanga Princess kusaka ushindi ili kuhakikisha wanaendelea kubaki kwenye nafasi nzuri katika mbio za ubingwa msimu huu

Yanga Princess inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 17, nyuma ya JKT Queens yenye alama 18 na Simba Queens yenye alama 22

Hata hivyo Simba Queens wamecheza mechi moja zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
38m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’