Tayari umekata tiketi yako?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2023
Tayari umekata tiketi yako?

Jumapili Februari 19 ni siku kubwa kwa mashabiki wa Yanga katika mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe

Hii ni mechi muhimu kwa Wananchi kushinda ili kuweka hai matumaini ya kusonga mbele hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Katika michuano hii kila timu imewekeza nguvu kubwa nyumbani ili kuhakikisha inavuna alama tatu

Tofauti na nchi nyingine, CAF imeruhusu mashabiki 'full house' katika mechi zinazopigwa Tanzania

Yanga inawahitaji mashabiki wake 60,000 kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili

Shabiki ni mchezaji wa 12 uwanjani, hakuna namna TP Mazembe wanaweza kutoka salama mbele ya Yanga huku uwanja mzima ukizizima kelele za Wananchi

Hakikisha umekamata tiketi yako mapema, usisubiri dakika za mwisho...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’