KMC wametangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa kuanzia saa 10 jioni




ADVERTISE HERE