Matchday : KMC vs Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Feb 2023
Matchday : KMC vs Yanga, NBC PL

Baada ya watani zao Simba kudondosha alama mbili hapo jana kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam Fc, leo Yanga ina nafasi ya kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC pale itakapoikabili KMC katika mchezo utakaopigwa dimba la Benjamin Mkapa, saa 10 jioni

Kama Yanga itashinda mchezo huo, itafikisha alama 62 na kuwaacha Simba kwa tofauti ya alama nane wakiwa na alama 54 zikisalia mechi saba kuhitimisha msimu

Hata hivyo haitakuwa mechi rahisi kutokana na umuhimu wake kwa kila timu

KMC hawakuwa na msimu mzuri, wako kwenye mapambano ya kujinusuru wasiteremke daraja

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema mechi dhidi ya KMC haijawahi kuwa rahisi lakini wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’