Yanga yarejea Dar kutoka Mtwara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2018
Yanga yarejea Dar kutoka Mtwara
Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam leo kikitokea mkoani Mtwara ambako kilivunja mwiko kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ndanda FC jana Jumatano.

Yanga imerejea Dar kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa mzunguuko wa kwanza dhidi ya Township Rollers, mchezo unaotarajiwa kupigwa Jumanne ijayo, March 06.

Yanga imefanikiwa kushinda michezo yake yote miwili iliyocheza Kusini mwa Tanzania kwa kuzilaza Majimaji 2-1 na kutinga robo fainali ya kombe la FA na kupata ushindi kama huo dhidi ya Ndanda FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 19.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’