Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka Tanzania Alfajiri ya leo Alhamisi kuelekea Mali kwa ajili ya mchezo wa tatu kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako
Mchezo huo utapigwa Jumapili Februari 26 katika uwanja wa 26 March
Kila la kheri Wananchi





ADVERTISE HERE