Yanga yajizolea mashabiki Mali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2023
Yanga yajizolea mashabiki Mali

Uwepo wa wachezaji Djigui Diarra na Mamadou Doumbia kwenye kikosi cha Yanga, umeongeza idadi ya mashabiki huko Mali

Mlinzi wa kati wa Yanga Dickson Job ameeleza kushangazwa na wananchi wengi katika Mji wa Bamako kuifahamu vyema Yanga wakishangiliwa kila kona wanayopita

Diarra na Doumbia wamekuwa kivutio, hakuna shaka siku ya Jumapili Yanga huenda ikapata mashabiki wengi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
57m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’