Mapema leo, klabu ya Yanga ikiongozwa na Rais Injinia Hersi Said ilitembelea na kutoa misaada kituo cha kulea watoto yatima cha Association Demba Gnouma Djoyoro, Bamako Mali
Umekuwa utaratibu wa Yanga kwa kushirikiana na GSM kutoa misaada kwa wenye uhitaji, kwa mara ya kwanza wamevuka nje ya mipaka ya Watanzania
Muda mchache ujao Yanga itashuka uwanja wa March 26 huko Mali kumenyana na Real Bamako katika mchezo wa kombe la Shirikisho


ADVERTISE HERE