Mechi ya FA dhidi ya Prisons kupigwa Machi 03

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2023
Mechi ya FA dhidi ya Prisons kupigwa Machi 03

Baada ya kukamilisha majukumu ya Kimataifa kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Real Bamako katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika, Ijumaa ya wiki hii Machi 03, kikosi cha Yanga kinakabiliwa na mchezo wa raundi ya nne kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huo ulipangwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa lakini huenda kukawa na mabadiliko ya uwanja kufuatia ukarabati unaotarajiwa kufanywa kwenye dimba la Mkapa

Mshindi wa mechi hii atatinga robo fainali ya kombe la FA ambalo linashikiliwa na Yanga wakilitwaa msimu uliopita kwa kuifunga Coastal Union kwa mikwaju ya penati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’