Sakata la Feisal kuhitimishwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2023
Sakata la Feisal kuhitimishwa leo

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo itafanya 'review' ya kesi ya Yanga dhidi ya kiungo Feisal Salum 'Fei Toto'

Awali shauri hilo lilipaswa kusikilizwa Februari 26 lakini haikuwezeana kwa kuwa klabu ya Yanga ilikuwa nje ya nchi kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako

Kamati ilishatoa hukumu kwa kuthibitisha Mkataba wa Feisal na Yanga ulikuwa halali na jaribio lake la kuvunja mkataba huo lilikuwa batili kwa sababu halikufuata utaratibu

Kamati ilitoa nafasi kwa upande wa mchezaji kuomba mapitio ya shauri hilo kama hawakuridhika na maamuzi yaliyotolewa na hivyo leo watasikilizwa tena

Hukumu itakayotolewa leo ni ya mwisho upande ambao hautaridhika utapaswa kwenda Mamlaka za juu zaidi ambako ni CAS

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’