Kesho Ijumaa, March 03 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kumenyana na Tanzania Prisons katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 1 usiku
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE