Tarehe kama ya leo amezaliwa fundi, kiungo muasisi wa 'kampa kampa tena' Tanzania, Thabani Scara Kamusoko ambaye ametimiza miaka 30.
Fundi huyu amekuwa kipenzi cha mashabiki wa Yanga kutokana na umahiri wake pamoja na kujituma kwake anapokuwa 'fit' dimbani.
Majeraha aliyoyapata msimu huu yamewanyima WanaYanga uhondo wa kumshuhudia akifanya yake pamoja na kuisaidia Yanga katika michuano mbalimbali inayoshiriki.
Lakini tayari imeelezwa kuwa Kamusoko amepona majeraha na ni swala la muda tu kuanza kuonekana tena akiitumikia Yanga.
Happy Birthday Thabani Kamusoko

ADVERTISE HERE