Kama bado hujakata tiketi kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa, basi hakikisha unakamilisha zoezi hilo leo
Nunua kupitia mitandao ya simu, vituo vilivyoainishwa au fika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani utawakuta Mawakala wanaokatisha tiketi
Yanga imeandaa utaratibu mzuri kuhakikisha Mwananchi unahudumiwa haraka ili siku ya kesho uwe na kazi moja tu, kuelekea uwanja wa Benjamin Mkapa kuwapa hamasa wachezaji



ADVERTISE HERE