Ugonjwa wao umeanza!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2018
Ugonjwa wao umeanza!
Simba imelazimishwa sare ya mabao 3-3 na Stand United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 20.

Kwa uzoefu wa misimu iliyopita, ni kawaida kwa Simba kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi kwa muda mrefu lakini inapofika duru ya pili, mchecheto unawashika hasa Yanga inapokuwa nafasi ya pili!

Matokeo ya mchezo huo yanaifanya Simba ifikishe alama 46 na sasa Yanga inahitaji kushinda mchezo wake ujao dhidi ya Mtibwa Sugar ili kupunguza zaidi tofauti ya alama na kuwa tatu.



Ligi ndio imeanza sasa!
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
58m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’