March 19 lazima kieleweke

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2023
March 19 lazima kieleweke

Ushindi wa mabao 2-0 ambao Yanga wameupata dhidi ya Real Bamako jana umewaweka Wananchi katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika kama watashinda mchezo unaofuata

March 19 Yanga itarudi uwanja wa Benjamin Mkapa kuhitimisha mechi za nyumbani kwa kuwakaribisha vinara wa kundi D, US Monastir ambao tayari wametinga robo fainali

Huu ndio mchezo ambao alama tatu kwa Yanga zitatosha kuwapeleka Wananchi hatua ya robo fainali

Uongozi wa Yanga, benchi la ufundi wanapaswa kuanza mapema mkakati wa kushinda mchezo huu

Ni alama tatu tu zinahitajika kuipeleka Yanga robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’