Mechi za duru ya pili ligi kuu ya Wanawake, 'Serengeti Lite' zimeanza kutimua vumbi jana ambapo leo kinadada Wananchi, Yanga Princess wako ugenini mkoani Dodoma kuikabili Fountain Gate Princess
Hii ni mechi ya kisasi kwa Yanga Princess, mchezo wa duru ya kwanza uliopigwa uwanja wa Uhuru, Fountain Gate Princess walishinda bao 1-0
Yanga Princess iko mkoani Dodoma tangu Jumatatu iliyopita ikijiandaa na mchezo huo ambao wanahiaji ushindi ili kuanza vyema duru ya pili katika mkakati w akuwania ubingwa msimu huu
Mechi itapigwa kuanzia saa 10 jioni
ADVERTISE HERE