Fountain Gate Princess imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga Princess leo wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Ni ushindi wa pili kwa Foutain Gate Princess dhidi ya Yanga Princess msimu huu walipata ushindi kama huo katika mchezo wa duru ya kwanza uliopigwa uwanja wa Uhuru
Bado vijana wa kocha Sebastian Nkoma hawako makini katika matumizi ya nafasi nyingi wanazotengeneza

ADVERTISE HERE