Yanga vs Monastir ni zaidi ya 'Do or Die'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2023
Yanga vs Monastir ni zaidi ya 'Do or Die'

Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Geita Gold hapo jana, nyota wa Yanga wamepewa mapumziko ya siku moja kabla ya kuanza mawindo ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir. Mchezo huo utapigwa Jumapili, March 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wakiwa nafasi ya pili kundi D na alama zao saba, Wananchi watakwenda robo fainali kama watashinda mchezo huo

Ni rahisi kusema hii itakuwa mechi ya zaidi ya kufa au kupona kwa Yanga ili kujihakikishia nafasi ya kutinga robo fainali

Yanga ni lazima ikate tiketi hapa nyumbani kabla ya kwenda DR Congo kukamilisha mchezo wa mwisho dhidi ya TP Mazembe

US Monastir tayari wametinga robo fainali, wao watakuja kusaka angalau alama moja ili kujihakikishia kumaliza nafasi ya kwanza kwani mchezo wao wa mwisho dhidi ya Real Bamako utapigwa Tunisia

Real Bamako watakuwa nyumbani kuikabili TP Mazembe katika mchezo unaofuata, kama watashinda watafikisha alama tano wakati kama TP Mazembe watashinda watafikisha alama sita

Matokeo tofuati ya ushindi kwa Yanga katika mchezo dhidi ya US Monastir yatafufua matumaini ya timu hizi kwani hatma ya timu itakayokwenda robo fainali na US Monastir itabidi isubiri matokeo ya mechi za mwisho

Ili kuepuka presha hii, Yanga lazima itinge robo fainali Jumapili kwa kuwafunga US Monastir hapa kwa Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’