Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama wa Yanga Haji Mfikirwa akiongozana na Afisa Habari Ali Kamwe leo wametembelea Matawi ya Yanga jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir
Walianzia tawi la Umoja na baadae kuelekea tawi la Kidali Asilia Tandale. Yanga imepania kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa ili kutengeneza hamasa kubwa katika mchezo dhidi ya US Monastir





ADVERTISE HERE