Wananchi wamehamasika Manzese

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2023
Wananchi wamehamasika Manzese

Mashabiki na Wanachama wa Yanga leo wamejitokeza kwa wingi katika tukio kubwa la hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao utapigwa Jumapili, March 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tukio hilo lilifanyika Manzese likiambatana na burudani kutoka kwa Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Manzese, Madee

Pia Wananchi walijipatia zawadi mbalimbali kutoka kwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said pia wakipata nafasi kuwauliza maswali viongozi wao pamoja na kuzungumza na wachezaji kupitia mawasiliano ya simu

Jumapili itakuwa siku ya kipekee kwa mashabiki wa Yanga, hakikisha unanunua tiketi yako mapema ili uwe sehemu ya Historia itakayokwenda kuandikwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga ikihitaji ushindi ili kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’