Yanga Princess gari limezima! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya vibonde Mkwawa Queens
Mkwawa Queens katika mechi zote za mzunguuko wa kwanza waliambulia alama moja tu na leo ndio wamepata alama ya pili mbele ya Yanga Princess ambayo msimu huu inapaswa kuwa katika mbio za kuwania ubingwa
Bado mapema lakini kwa hakika kinadada wanatuangusha Wananchi...!

ADVERTISE HERE